Zaburi 37:39
Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, 2 yeye ni ngome yao wakati wa shida. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the salvation of the righteous is of the LORD: he is their strength in the time of trouble.
In Context
38Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa, 2 mafanikio yao yatakatiliwa mbali. 1
40Bwana huwasaidia na kuwaokoa, 2 huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, 2 kwa maana wanamkimbilia.
Cross References
2 Chronicles 32:22Hivyo Bwana akamwokoa Hezekia na watu wa Yerusalemu kutoka mkononi mwa Senakeribu mfalme wa Ashuru na kutoka mikononi mwa wengine wote. Bwana akawastarehesha kila upande.
Psalms 9:9Bwana ni kimbilio la watu wanaoonewa, 2 ni ngome imara wakati wa shida. 1
Psalms 28:7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, 2 moyo wangu umemtumaini yeye, 2 nami nimesaidiwa. 1 Moyo wangu unarukaruka kwa furaha 2 nami nitamshukuru kwa wimbo. 1
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 62:2Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; 1 yeye ni ngome yangu, sitatikisika kamwe. 1
Proverbs 11:8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, 2 naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 1