The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 32 › 2 Chronicles 32:22

2 Chronicles 32:22

Hivyo Bwana akamwokoa Hezekia na watu wa Yerusalemu kutoka mkononi mwa Senakeribu mfalme wa Ashuru na kutoka mikononi mwa wengine wote. Bwana akawastarehesha kila upande.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus the LORD saved Hezekiah and the inhabitants of Jerusalem from the hand of Sennacherib the king of Assyria, and from the hand of all other, and guided them on every side.

In Context

21Naye Bwana akamtuma malaika ambaye aliangamiza wanajeshi wote, na viongozi na maafisa katika kambi ya mfalme wa Ashuru. Kwa hiyo, mfalme wa Ashuru akarudi nchini mwake kwa aibu. Naye alipokwenda katika hekalu la mungu wake, baadhi ya watoto wake wakamuua kwa upanga.

23Watu wengi wakaleta sadaka Yerusalemu kwa ajili ya Bwana na zawadi za thamani kwa ajili ya Hezekia mfalme wa Yuda. Tangu hapo na kuendelea, Hezekia aliheshimiwa sana na mataifa yote. 1 Kiburi Cha Hezekia, Mafanikio Na Kifo (2 Wafalme 20:1-3, 12-19; Isaya 38:1-3; 39:1-8)

Read all of 2 Chronicles 32

Cross References

Psalms 37:39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, 2 yeye ni ngome yao wakati wa shida. 1

Psalms 71:20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, 2 utanihuisha tena, 1 kutoka vilindi vya dunia 2 utaniinua tena. 1

Psalms 144:10kwa Yule awapaye wafalme ushindi, 2 ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake kutokana na upanga hatari. 1

Isaiah 31:4Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Kama vile simba angurumavyo, 2 simba mkubwa juu ya mawindo yake: 1 hata ingawa kundi lote la wachunga mifugo 2 huitwa pamoja dhidi yake, 1 hatiwi hofu na kelele zao 2 wala kusumbuliwa na ghasia zao; 1 ndivyo Bwana Mwenye Nguvu Zote atakavyoshuka 2 kufanya vita juu ya Mlima Sayuni 2 na juu ya vilele vyake. 1

Isaiah 58:11Bwana atakuongoza siku zote, 2 atayatosheleza mahitaji yako katika nchi kame, 2 naye ataitia nguvu mifupa yako. 1 Utakuwa kama bustani iliyonyweshwa vizuri, 2 kama chemchemi ambayo maji yake hayakauki kamwe. 1

John 16:13Atakapokuja huyo Roho wa kweli atawaongoza awatie katika kweli yote. Yeye hatanena kwa ajili yake mwenyewe, bali atanena yale yote atakayosikia, naye atawaonyesha mambo yajayo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 32:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 32:212 Chronicles 322 Chronicles 32:23 →