Zaburi 39:6
Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini? 2 Tumaini langu ni kwako. 1
Cross References
Job 7:7Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; 2 macho yangu kamwe hayataona tena raha. 1
Job 14:1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke 2 siku zake ni chache nazo zimejaa taabu. 1
Psalms 49:10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; 2 wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia 2 na kuwaachia wengine mali zao. 1
Psalms 127:2Mnajisumbua bure kuamka mapema 2 na kuchelewa kulala, 1 mkitaabikia chakula: 2 kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 1
Proverbs 13:22Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi, 2 bali mali ya wenye dhambi imehifadhiwa 2 kwa ajili ya wenye haki. 1
Proverbs 27:24Kwa kuwa utajiri haudumu milele, 2 nayo taji haidumu vizazi vyote. 1