Psalms 44:21
je, Mungu hangaligundua hili, 2 kwa kuwa anazijua siri za moyo? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shall not God search this out? for he knoweth the secrets of the heart.
In Context
20Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu 2 au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni, 1
22Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; 2 tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa. 1
Cross References
Job 31:4Je, yeye hazioni njia zangu 2 na kuihesabu kila hatua yangu? 1
Job 34:21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; 2 anaona kila hatua yao. 1
Ecclesiastes 12:14Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, 2 pamoja na kila neno la siri, 2 likiwa jema au baya.
Jeremiah 23:24Je, mtu yeyote aweza kujificha 2 mahali pa siri ili nisiweze kumwona?” 4 Bwana asema. 2 “Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?” 4 Bwana asema.
1 Corinthians 4:5Kwa hiyo msihukumu jambo lolote kabla ya wakati wake. Ngojeni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayaleta nuruni mambo yale yaliyofichwa gizani, na kuweka wazi nia za mioyo ya wanadamu. Wakati huo kila mmoja atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.
Revelation 2:23Nami nitawaua watoto wake. Nayo makanisa yote yatajua kwamba Mimi ndiye nichunguzaye mioyo na nia, na kwamba nitamlipa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.