Ayubu 31:4
Je, yeye hazioni njia zangu 2 na kuihesabu kila hatua yangu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth not he see my ways, and count all my steps?
In Context
3Je, si uharibifu kwa watu waovu, 2 maangamizi kwa wale watendao mabaya? 1
5“Kama nimeishi katika uongo 2 au mguu wangu umekimbilia udanganyifu, 1
Cross References
Genesis 16:13Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.”
Job 14:16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, 2 lakini hutazifuatia dhambi zangu. 1
Job 34:21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; 2 anaona kila hatua yao. 1
Psalms 139:1Ee Bwana, umenichunguza 2 na kunijua. 1
Proverbs 5:21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1
Jeremiah 16:17Macho yangu yanaziona njia zao zote, hazikufichika kwangu, wala dhambi yao haikusitirika.