The Bible Software
bible.softwareZaburiZaburi 45 › Zaburi 45:13

Zaburi 45:13

Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; 2 vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The king’s daughter is all glorious within: her clothing is of wrought gold.

In Context

12Binti wa Tiro atakuletea zawadi, 2 watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako. 1

14Anaongozwa kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi yaliyotariziwa, 2 mabikira wenzake wanamfuata 2 na wanaletwa kwako. 1

Read all of Zaburi 45

Cross References

1 Kings 5:15Solomoni alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani,

Song of Solomon 7:1Ee binti wa mwana wa mfalme, 2 tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu! 1 Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani, 2 kazi ya mikono ya fundi stadi. 1

Matthew 5:16Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. 1 Kutimiza Sheria

Luke 11:40Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia?

Romans 3:22Haki hii itokayo kwa Mungu hupatikana kwa Yesu Kristo kwa wote wamwaminio. Kwa maana hapo hakuna tofauti,

2 Corinthians 5:17Kwa hiyo kama mtu akiwa ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama, yamekuwa mapya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 45:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 45:12Zaburi 45Zaburi 45:14 →