The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 46 › Zaburi 46:2

Zaburi 46:2

Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa 2 nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore will not we fear, though the earth be removed, and though the mountains be carried into the midst of the sea;

In Context

1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1

3Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, 2 milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake. 1

Read all of Zaburi 46

Cross References

2 Samuel 22:3Mungu wangu ni mwamba wangu, 2 ambaye kwake ninakimbilia, 2 ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. 1 Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu 2 na mwokozi wangu, 2 huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri. 1

Psalms 23:4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1

Psalms 28:7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, 2 moyo wangu umemtumaini yeye, 2 nami nimesaidiwa. 1 Moyo wangu unarukaruka kwa furaha 2 nami nitamshukuru kwa wimbo. 1

Psalms 59:17Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. 2 Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, 2 Mungu unipendaye.

Psalms 62:9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, 2 nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; 1 wakipimwa kwenye mizani, si chochote; 2 wote kwa pamoja ni pumzi tu. 1

Psalms 91:2Nitasema kumhusu Bwana, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, 2 Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 46:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 46:1Zaburi 46Zaburi 46:3 →