The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 6 › Zaburi 6:2

Zaburi 6:2

Unirehemu Bwana, 2 kwa maana nimedhoofika; 1 Ee Bwana, uniponye, 2 kwa maana mifupa yangu 2 ina maumivu makali. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Have mercy upon me, O LORD; for I am weak: O LORD, heal me; for my bones are vexed.

In Context

1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, 2 wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. 1

3Nafsi yangu ina uchungu mwingi. 2 Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini? 1

Read all of Zaburi 6

Cross References

Exodus 15:26Mungu akasema, “Kama mkisikiliza kwa bidii sauti ya Bwana Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa machoni pake, kama mkiyatii maagizo yake na kuzishika amri zake zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, niwaponyaye.”

Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1

Job 19:21“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, 2 kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 1

Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1

Psalms 31:10Maisha yangu yamedhoofika kwa majonzi, 2 naam, miaka yangu kwa kulia kwa maumivu makali; 1 nguvu zangu zinaisha kwa ajili ya mateso, 2 na mifupa yangu inachakaa. 1

Psalms 38:2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, 2 na mkono wako umenishukia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 6:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 6:1Zaburi 6Zaburi 6:3 →