The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 15 › Exodus 15:13

Exodus 15:13

“Katika upendo wako usiokoma utawaongoza 2 watu uliowakomboa. 1 Katika nguvu zako utawaongoza 2 mpaka makao yako matakatifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou in thy mercy hast led forth the people which thou hast redeemed: thou hast guided them in thy strength unto thy holy habitation.

In Context

12Uliunyoosha mkono wako wa kuume 2 na nchi ikawameza. 1

14Mataifa watasikia na kutetemeka, 2 uchungu utawakamata watu wa Ufilisti. 1

Read all of Exodus 15

Cross References

Genesis 19:16Alipositasita, wale watu wakamshika mkono wake na mikono ya mke wake na binti zake wawili na kuwaongoza salama nje ya mji, kwa kuwa Bwana alikuwa na huruma kwao.

Psalms 77:14Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza, 2 umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa. 1

Psalms 77:20Uliongoza watu wako kama kundi 2 kwa mkono wa Mose na Aroni.

Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2

Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1

Isaiah 63:12aliyetuma mkono wake uliotukuka wenye nguvu 2 kuwa katika mkono wa kuume wa Mose, 1 aliyegawa maji ya bahari mbele yao, 2 ili kujipatia jina milele, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 15:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 15:12Exodus 15Exodus 15:14 →