Zaburi 8:2
Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao 2 umeamuru sifa, 1 kwa sababu ya watesi wako, 2 kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Nikiziangalia mbingu zako, 2 kazi ya vidole vyako, 1 mwezi na nyota, 2 ulizoziratibisha, 1
Cross References
Exodus 15:16vitisho na hofu vitawaangukia. 1 Kwa nguvu ya mkono wako 2 watatulia kama jiwe, 1 mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana, 2 mpaka watu uliowanunua wapite. 1
1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2
Psalms 44:16kwa ajili ya dhihaka ya wale wanaonilaumu na kunitukana, 2 kwa sababu ya adui, ambaye anatamani kulipiza kisasi. 1
Psalms 57:6Waliitegea miguu yangu nyavu, 2 nikainamishwa chini na dhiki. 1 Wamechimba shimo katika njia yangu, 2 lakini wametumbukia humo wao wenyewe. 1
Psalms 148:13Wote na walisifu jina la Bwana, 2 kwa maana jina lake pekee limetukuka, 2 utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu. 1
Isaiah 37:20Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili kwamba falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.” 1 Kuanguka Kwa Senakeribu (2 Wafalme 19:20-37)