Job 13:25
Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? 2 Je, utayasaka makapi makavu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wilt thou break a leaf driven to and fro? and wilt thou pursue the dry stubble?
In Context
24Kwa nini kuuficha uso wako 2 na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 1
26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu 2 na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 1
Cross References
1 Samuel 24:14“Je, mfalme wa Israeli ametoka dhidi ya nani? Ni nani unayemfuatia? Je, ni mbwa mfu? Ni kiroboto?
Job 21:18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1
Matthew 12:20Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima, 1 mpaka atakapoifanya haki ishinde. 2