Isaiah 40:24
Mara baada ya kupandwa, 2 mara baada ya kutiwa ardhini, 2 mara baada ya kutoa mizizi yao ardhini, 1 ndipo huwapulizia nao wakanyauka, 2 nao upepo wa kisulisuli 2 huwapeperusha kama makapi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Huwafanya wakuu kuwa si kitu, 2 na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure. 1
25“Utanilinganisha mimi na nani? 2 Au ni nani anayelingana nami?” asema yeye Aliye Mtakatifu. 1
Cross References
1 Kings 21:21‘Nitaleta maafa juu yako. Nitaangamiza uzao wako na kukatilia mbali kutoka kwa Ahabu kila mzaliwa wa mwisho wa kiume katika Israeli, wa mtumwa au wa mtu huru.
Job 4:9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa; 2 kwa mshindo wa hasira zake huangamia. 1
Job 15:30Hatatoka gizani; 2 mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, 2 nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali. 1
Job 21:18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1
Proverbs 1:27wakati janga litawapata kama tufani, 2 wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, 2 wakati dhiki na taabu zitawalemea. 1
Isaiah 14:21Andaa mahali pa kuwachinjia wanawe 2 kwa ajili ya dhambi za baba zao, 1 wasije wakainuka ili kuirithi nchi 2 na kuijaza dunia kwa miji yao. 1