Isaya 17:12
Lo! Ghadhabu ya mataifa mengi, 2 wanaghadhibika kama bahari iliyochafuka! 1 Lo! Makelele ya mataifa 2 wanavuma kama ngurumo za maji mengi! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 18:4Kamba za mauti zilinizunguka, 2 mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 1
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1
Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.
Isaiah 9:5Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani, 2 na kila vazi lililovingirishwa katika damu 1 vitawekwa kwa ajili ya kuchomwa, 2 vitakuwa kuni za kuwasha moto. 1
Jeremiah 6:23Wamejifunga pinde na mkuki, 2 ni wakatili na hawana huruma. 1 Wanatoa sauti kama bahari inayonguruma 2 wanapoendesha farasi zao. 1 Wanakuja kama watu waliojipanga tayari kwa vita 2 ili kukushambulia, ee Binti Sayuni.” 1