Zaburi 88:13
Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; 2 asubuhi maombi yangu huja mbele zako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But unto thee have I cried, O LORD; and in the morning shall my prayer prevent thee.
In Context
12Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, 2 au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu? 1
14Ee Bwana, kwa nini unanikataa 2 na kunificha uso wako? 1
Cross References
Job 10:21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1
Psalms 5:3Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana; 2 asubuhi naleta haja zangu mbele zako, 2 na kusubiri kwa matumaini. 1
Psalms 119:147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; 2 nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1
Lamentations 3:56Ulisikia ombi langu: “Usikizibie masikio yako 2 kilio changu nikuombapo msaada.” 1