Zaburi 97:2
Mawingu na giza nene vinamzunguka, 2 haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake cha enzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Bwana anatawala, nchi na ifurahi, 2 visiwa vyote vishangilie. 1
3Moto hutangulia mbele zake 2 na huteketeza adui zake pande zote. 1
Cross References
Exodus 19:9Bwana akamwambia Mose, “Nitakujia katika wingu zito, ili watu wanisikie nikinena nawe na kila mara waweke tumaini lao kwako.” Kisha Mose akamwambia Bwana yale ambayo watu walikuwa wamesema.
Exodus 24:16nao utukufu wa Bwana ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba Bwana akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu.
1 Kings 8:10Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la Bwana.
Job 23:14Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, 2 na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. 1
Psalms 18:11Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika, 2 hema lake kumzunguka, 2 mawingu meusi ya mvua ya angani. 1
Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1