Revelation 3:21
“Yeye ashindaye nitampa haki ya kuketi pamoja nami kwenye kiti changu cha enzi, kama vile mimi nilivyoshinda na nikaketi pamoja na Baba yangu kwenye kiti chake cha enzi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.”
Cross References
Daniel 7:13“Katika maono yangu ya usiku nilitazama, na mbele yangu nikamwona anayefanana na mwanadamu, akija pamoja na mawingu ya mbinguni. Akamkaribia huyo Mzee wa Siku, na akaongozwa mbele zake.
Matthew 28:18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
John 5:22Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
John 16:33Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”
Ephesians 1:20aliyoitumia katika Kristo alipomfufua kutoka kwa wafu, na akamketisha mkono wake wa kuume huko mbinguni,
2 Timothy 2:12Kama tukistahimili, 2 pia tutatawala pamoja naye. 1 Kama tukimkana yeye, 2 naye atatukana sisi. 1