The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 10 › Romans 10:19

Romans 10:19

Nami nauliza tena: Je, Waisraeli hawakuelewa? Kwanza, Mose asema, 1 “Nitawafanya mwe na wivu 2 kwa watu wale ambao si taifa. 1 Nitawakasirisha kwa taifa 2 lile lisilo na ufahamu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I say, Did not Israel know? First Moses saith, I will provoke you to jealousy by them that are no people, and by a foolish nation I will anger you.

In Context

18Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana: 1 “Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu.”

20Naye Isaya kwa ujasiri mwingi anasema, 1 “Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. 2 Nilijifunua kwa watu 2 wale ambao hawakunitafuta.”

Read all of Romans 10

Cross References

Psalms 115:5Zina vinywa, lakini haziwezi kusema, 2 zina macho, lakini haziwezi kuona; 1

Jeremiah 10:8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1

Hosea 2:23Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; 2 nami nitaonyesha pendo langu kwake 2 yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu. + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ruhama.’ 1 Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’ + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ami. 2 ‘Ninyi ni watu wangu’; 2 nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”

Romans 3:26Alifanya hivyo ili kuonyesha haki yake wakati huu, ili yeye awe mwenye haki na mwenye kumhesabia haki yule anayemwamini Yesu. 1 Umuhimu Wa Kuwa Na Imani

Romans 11:11Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu.

1 Corinthians 1:12Maana yangu ni kwamba: Mmoja wenu husema, “Mimi ni wa Paulo”; mwingine, “Mimi ni wa Apolo”; mwingine, “Mimi ni wa Kefa,” + 1:12 Yaani Petro. na mwingine, “Mimi ni wa Kristo.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 10:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 10:18Romans 10Romans 10:20 →