Romans 11:10
Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, 2 nayo migongo yao iinamishwe daima.” 1 Matawi Yaliyopandikizwa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let their eyes be darkened, that they may not see, and bow down their back alway.
In Context
Cross References
Psalms 69:23Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, 2 nayo migongo yao iinamishwe daima. 1
Isaiah 65:12nitawaagiza mfe kwa upanga, 2 nanyi nyote mtainama chini ili kuchinjwa; 1 kwa kuwa niliwaita lakini hamkuitika, 2 nilisema lakini hamkusikiliza. 1 Mlitenda maovu machoni pangu, 2 nanyi mkachagua mambo yale yanayonichukiza.”
Romans 1:21Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza.
Ephesians 4:18Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao.
2 Peter 2:17Watu hawa ni chemchemi zisizo na maji, na ukungu upeperushwao na tufani. Giza nene limewekwa tayari kwa ajili yao.
Jude 1:13Wao ni mawimbi makali ya bahari, yakitoa povu la aibu yao wenyewe, ni nyota zipoteazo, ambao weusi wa giza ndio akiba waliowekewa milele.