Romans 11:9
Naye Daudi anasema: 1 “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, 2 kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:13Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, 2 akamlisha kwa mavuno ya mashamba. 1 Akamlea kwa asali toka mwambani, 2 na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu, 1
1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.
Job 20:20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe kwa hazina zake. 1
Psalms 69:22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, 2 nayo iwe upatilizo na tanzi. 1
Isaiah 8:13Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye peke yake 2 ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, 1 ndiye peke yake utakayemwogopa, 2 ndiye peke yake utakayemhofu, 1
Isaiah 66:9Je, nilete mwana hadi wakati wa kuzaliwa 2 na nisizalishe?” asema Bwana. 1 “Je, nifunge tumbo la uzazi 2 wakati mimi ndiye nizalishaye?” 2 asema Mungu wako. 1