Romans 11:8
kama ilivyoandikwa: 1 “Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo, 2 macho ili wasiweze kuona, 2 na masikio ili wasiweze kusikia, 1 hadi leo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 17:34Mpaka leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu Bwana wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo Bwana aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli.
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Jeremiah 5:21Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, 2 mlio na macho lakini hamwoni, 2 mlio na masikio lakini hamsikii: 1
Matthew 13:13Hii ndiyo sababu nasema nao kwa mifano: 1 “Ingawa wanatazama, hawaoni; 2 wanasikiliza, lakini hawasikii, wala hawaelewi.
Luke 8:10Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili, 1 “ ‘ingawa wanatazama, wasione; 2 ingawa wanasikiliza, wasielewe.’
2 Corinthians 3:14Lakini akili zao zilipumbazwa, kwa maana mpaka leo utaji ule ule hufunika wakati Agano la Kale linasomwa. Huo utaji haujaondolewa, kwa maana ni katika Kristo peke yake unaondolewa.