Warumi 12:14
Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Bless them which persecute you: bless, and curse not.
In Context
13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.
15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
Cross References
Matthew 5:44Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,
Luke 23:34Yesu akasema, “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!” Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.
Romans 12:21Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
1 Thessalonians 5:15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.
1 Peter 2:21Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake. 1