Romans 6:5
Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:2Alililima na kuondoa mawe 2 na akaliotesha mizabibu bora sana. 1 Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake, 2 na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. 1 Kisha akatazamia kupata mazao ya zabibu nzuri, 2 lakini lilizaa matunda mabaya tu. 1
Matthew 15:13Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litangʼolewa.
John 15:1“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima.
2 Corinthians 4:10Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu.
Philippians 3:10Nataka nimjue Kristo na uweza wa kufufuka kwake na ushirika wa mateso yake, ili nifanane naye katika mauti yake,
Colossians 3:1Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.