Romans 8:14
Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio watoto wa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For as many as are led by the Spirit of God, they are the sons of God.
In Context
Cross References
Psalms 143:10Nifundishe kufanya mapenzi yako, 2 kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu, 1 Roho wako mwema na aniongoze 2 katika nchi tambarare. 1
Isaiah 48:16“Nikaribieni na msikilize hili: 1 “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; 2 wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” 1 Sasa Bwana Mwenyezi amenituma, 2 kwa Roho wake. 1
John 1:12Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake.
Romans 8:9Lakini ninyi, hamtawaliwi na mwili, bali na Roho, ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu. Mtu yeyote ambaye hana Roho wa Kristo, yeye si wa Kristo.
Romans 8:19Kwa maana viumbe vyote vinangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa watoto wa Mungu.
Romans 9:26tena, 1 “Itakuwa hasa mahali pale walipoambiwa, 2 ‘Ninyi si watu wangu,’ 1 wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’ ”