Romans 9:26
tena, 1 “Itakuwa hasa mahali pale walipoambiwa, 2 ‘Ninyi si watu wangu,’ 1 wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Hosea 1:9Kisha Bwana akasema, “Mwite Lo-Ami + 1:9 Lo-Ami maana yake Sio watu wangu. kwa maana ninyi si watu wangu, nami si Mungu wenu.
John 11:52wala si kwa ajili ya taifa hilo pekee, bali pia kwa ajili ya watoto wa Mungu waliotawanyika, ili kuwaleta pamoja na kuwafanya wawe wamoja.
2 Corinthians 6:18“Mimi nitakuwa Baba kwenu, 2 nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, 4 asema Bwana Mwenyezi.”
1 John 3:1Tazameni ni pendo kuu namna gani alilotupa Baba, kwamba sisi tuitwe wana wa Mungu! Na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.