Warumi 9:24
yaani pamoja na sisi, ambao pia alituita, si kutoka kwa Wayahudi peke yao, bali pia kutoka kwa watu wa Mataifa? 1 Yote Yalitabiriwa Katika Maandiko
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even us, whom he hath called, not of the Jews only, but also of the Gentiles?
In Context
Cross References
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Acts 15:14Simoni amekwisha kutueleza jinsi Mungu, kwa mara ya kwanza alivyoonyesha kuhusika kwa kujichagulia watu kutoka watu wa Mataifa kwa ajili ya Jina lake.
Romans 3:29Je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi peke yao? Je, yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Naam, yeye ni Mungu wa watu wa Mataifa pia.
Romans 8:28Nasi tunajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hutenda kazi pamoja na wote wampendao, katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Romans 11:11Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu.
1 Corinthians 1:9Mungu ambaye mmeitwa naye ili mwe na ushirika na Mwanawe Yesu Kristo, Bwana wetu ni mwaminifu. 1 Mgawanyiko Ndani Ya Kanisa