Romans 9:25
Kama vile Mungu asemavyo katika Hosea: 1 “Nitawaita ‘watu wangu’ 2 wale ambao si watu wangu; 1 nami nitamwita ‘mpenzi wangu’ 2 yeye ambaye si mpenzi wangu,”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 7:24Umeimarisha watu wako Israeli hasa kama watu wako mwenyewe milele, nawe, Ee Bwana, umekuwa Mungu wao.
Hosea 1:1Neno la Bwana lililomjia Hosea mwana wa Beeri wakati wa utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda, na wakati wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi, mfalme wa Israeli. 1 Mke Wa Hosea Na Watoto
John 16:27kwa maana Baba mwenyewe anawapenda, kwa sababu mmenipenda mimi na mmeamini kwamba nimetoka kwa Mungu.
1 Peter 2:10Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema.