The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 9 › Romans 9:27

Romans 9:27

Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli: 1 “Ingawa idadi ya wana wa Israeli 2 ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaookolewa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Esaias also crieth concerning Israel, Though the number of the children of Israel be as the sand of the sea, a remnant shall be saved:

In Context

26tena, 1 “Itakuwa hasa mahali pale walipoambiwa, 2 ‘Ninyi si watu wangu,’ 1 wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’ ”

28Kwa kuwa Bwana ataitekeleza 2 hukumu yake duniani kwa haraka 2 na kwa ukamilifu.”

Read all of Romans 9

Cross References

Ezra 9:8“Lakini sasa, kwa muda mfupi, Bwana Mungu wetu amekuwa na neema kwa kutuachia mabaki na kutupa mahali imara katika mahali pake patakatifu, hivyo Mungu wetu atupa mwanga machoni petu na unafuu katika utumwa wetu.

Isaiah 1:1Maono kuhusu Yuda na Yerusalemu ambayo Isaya mwana wa Amozi aliyaona wakati wa utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda. 1 Taifa Asi 1

Isaiah 10:20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 24:13Ndivyo itakavyokuwa duniani 2 na miongoni mwa mataifa, 1 kama vile wakati mzeituni upigwavyo, 2 au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa. 1

Ezekiel 6:8“ ‘Lakini nitawabakiza hai baadhi yenu, kwa kuwa baadhi yenu watanusurika kuuawa watakapokuwa wametawanyika katika nchi na mataifa.

Micah 5:3Kwa hiyo Israeli utaachwa mpaka wakati 2 mwanamke aliye na utungu atakapozaa 1 na ndugu zake wengine warudi 2 kujiunga na Waisraeli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 9:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 9:26Romans 9Romans 9:28 →