The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 9 › Romans 9:28

Romans 9:28

Kwa kuwa Bwana ataitekeleza 2 hukumu yake duniani kwa haraka 2 na kwa ukamilifu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he will finish the work, and cut it short in righteousness: because a short work will the Lord make upon the earth.

In Context

27Isaya anapiga kelele kuhusu Israeli: 1 “Ingawa idadi ya wana wa Israeli 2 ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaookolewa. 1

29Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema: 1 “Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 asingelituachia uzao, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora.” 1 Kutokuamini Kwa Israeli

Read all of Romans 9

Cross References

Psalms 9:8Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, 2 atatawala mataifa kwa haki. 1

Isaiah 5:16Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1

Isaiah 28:22Sasa acheni dharau zenu, 2 la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi. 1 Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, ameniambia 2 habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote. 1

Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.

Acts 17:31Kwa kuwa ameweka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki akimtumia mtu aliyemchagua. Amewahakikishia watu wote mambo haya kwa kumfufua Kristo kutoka kwa wafu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 9:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 9:27Romans 9Romans 9:29 →