Warumi 9:29
Ni kama vile alivyotabiri Isaya akisema: 1 “Kama Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 asingelituachia uzao, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora.” 1 Kutokuamini Kwa Israeli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Kwa kuwa Bwana ataitekeleza 2 hukumu yake duniani kwa haraka 2 na kwa ukamilifu.”
Cross References
Genesis 19:24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora.
Isaiah 1:9Kama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote + 1:9 Bwana Mwenye Nguvu Zote hapa ni Yehova Sabaoth, yaani Bwana wa Majeshi; pia Warumi 9:29 na Yakobo 5:4. 2 asingelituachia walionusurika, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora. 1
Isaiah 13:19Babeli, johari ya falme, 2 utukufu wa kiburi cha Wababeli, + 13:19 Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo. 1 itaangushwa na Mungu 2 kama Sodoma na Gomora. 1
Jeremiah 50:40Kama vile Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote 2 atakayeishi humo. 1 Naam, hakuna mtu yeyote 2 atakayekaa humo. 1
Lamentations 4:6Adhabu ya watu wangu 2 ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, 1 ambayo ilipinduliwa ghafula 2 bila kuwepo mkono wa msaada. 1
Zephaniah 2:6Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi, 2 patakuwa mahali pa wachungaji 2 na mazizi ya kondoo. 1