Romans 9:30
Kwa hiyo tuseme nini basi? Kwamba watu wa Mataifa ambao hawakutafuta haki, wamepata haki ile iliyo kwa njia ya imani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.
Cross References
Proverbs 15:9Bwana huchukia sana njia ya waovu, 2 bali huwapenda wale wafuatao haki. 1
Isaiah 51:1“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki 2 na mnaomtafuta Bwana: 1 Tazameni mwamba ambako mlichongwa, 2 na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa; 1
Romans 1:17Kwa maana katika Injili haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa, haki ile iliyo kwa njia ya imani hadi imani. Kama ilivyoandikwa: “Mwenye haki ataishi kwa imani.” 1 Ghadhabu Ya Mungu Kwa Wanadamu
Romans 3:21Lakini sasa, haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa pasipo sheria, ambayo Sheria na Manabii wanaishuhudia.
Romans 4:11Alipewa ishara ya tohara kuwa muhuri wa haki aliyokuwa nayo kwa imani hata alipokuwa bado hajatahiriwa. Kusudi lilikuwa kumfanya baba wa wote wale waaminio pasipo kutahiriwa na ambao wamehesabiwa haki.
Romans 4:22Hii ndio sababu, “ilihesabiwa kwake kuwa haki.”