Ruthu 1:19
Kwa hiyo hao wanawake wawili wakaondoka, wakafika Bethlehemu. Walipofika Bethlehemu, mji mzima ulitaharuki, wanawake wakashangaa, wakasema, “Huyu aweza kuwa ni Naomi?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Naomi alipotambua kwamba Ruthu amenuia kufuatana naye, hakuendelea kumsihi tena.
Cross References
Ruth 2:6Msimamizi akamjibu, “Ni yule Mmoabu aliyerudi kutoka nchi ya Moabu pamoja na Naomi.
Isaiah 23:7Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe, 2 mji wa zamani, zamani kabisa 1 ambao miguu yake imeuchukua 2 kufanya makao nchi za mbali sana? 1
Matthew 21:10Yesu alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakauliza, “Huyu ni nani?”