The Bible Software
bible.softwareRuthRuth 1 › Ruth 1:20

Ruth 1:20

Akawaambia, “Msiniite tena Naomi, + 1:20 Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha. niiteni Mara, + 1:20 Mara maana yake Chungu. kwa sababu Mwenyezi + 1:20 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. amenitendea mambo machungu sana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And she said unto them, Call me not Naomi, call me Mara: for the Almighty hath dealt very bitterly with me.

In Context

19Kwa hiyo hao wanawake wawili wakaondoka, wakafika Bethlehemu. Walipofika Bethlehemu, mji mzima ulitaharuki, wanawake wakashangaa, wakasema, “Huyu aweza kuwa ni Naomi?”

21Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini Bwana amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? Bwana amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba.”

Read all of Ruth 1

Cross References

Genesis 43:14Naye Mungu Mwenyezi + 43:14 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). awajalieni rehema mbele ya huyo mtu ili apate kumwachia yule ndugu yenu na Benyamini mweze kurudi pamoja. Kwangu mimi kama nikufiwa nimefiwa.”

Exodus 15:23Walipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara + 15:23 Mara maana yake ni Chungu.)

Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1

Job 11:7“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1

Psalms 73:14Mchana kutwa nimetaabika, 2 nimeadhibiwa kila asubuhi. 1

Isaiah 38:13Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, 2 lakini alivunja mifupa yangu yote kama simba. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ruth 1:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ruth 1:19Ruth 1Ruth 1:21 →