Ruth 2:8
Kisha Boazi akamwambia Ruthu, “Binti yangu, nisikilize. Usiende kuokota mabaki ya mavuno katika shamba lingine, na usiondoke hapa. Kaa hapa na hawa watumishi wangu wa kike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 19:9“ ‘Wakati uvunapo mavuno ya nchi yako, usivune hadi kwenye mipaka ya shamba lako, wala usikusanye mabaki ya mavuno yako.
1 Samuel 3:16lakini Eli akamwita na kumwambia, “Samweli mwanangu.” Samweli akamjibu, “Mimi hapa.”
Song of Solomon 1:7Niambie, wewe ambaye ninakupenda, 2 unalisha wapi kundi lako la kondoo 2 na ni wapi unapowapumzisha kondoo wako adhuhuri. 1 Kwa nini niwe kama mwanamke aliyefunikwa shela 2 karibu na makundi ya rafiki zako? Marafiki 1
Matthew 9:22Yesu akageuka, naye alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya.” Naye yule mwanamke akapona kuanzia saa ile ile. 1 Yesu Amfufua Binti Wa Kiongozi Wa Sinagogi
Philippians 4:8Hatimaye, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo na sifa njema, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote ya kupendeza, yoyote yenye staha, ukiwepo uzuri wowote, pakiwepo chochote kinachostahili kusifiwa, tafakarini mambo hayo.