Ruth 2:7
Yeye aliomba, ‘Tafadhali niruhusu niokote na kukusanya miongoni mwa miganda nyuma ya wavunaji.’ Naye ameshinda shambani tangu asubuhi pasipo kupumzika, isipokuwa kwa muda mfupi kivulini.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Msimamizi akamjibu, “Ni yule Mmoabu aliyerudi kutoka nchi ya Moabu pamoja na Naomi.
Cross References
Proverbs 13:4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1
Proverbs 18:23Mtu maskini huomba kuhurumiwa 2 bali tajiri hujibu kwa ukali. 1
Ecclesiastes 9:10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.
Romans 12:11Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.
Ephesians 5:21Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo. 1 Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume