Ruth 4:14
Wanawake wakamwambia Naomi: “Ahimidiwe Bwana, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 24:27akisema, “Atukuzwe Bwana, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hakuondoa wema na uaminifu wake kwa bwana wangu. Mimi nami, Bwana ameniongoza safarini akanifikisha nyumbani kwa jamaa za bwana wangu.”
Ruth 4:21Salmoni akamzaa Boazi, 1 Boazi akamzaa Obedi, 1
Psalms 103:1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. 2 Vyote vilivyomo ndani yangu 2 vilihimidi jina lake takatifu. 1
Matthew 1:5Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, 2 Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, 2 Obedi akamzaa Yese, 2
Romans 12:15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
1 Thessalonians 5:18shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu.