Ruthu 4:15
Atakurejeshea uhai wako na kukuangalia katika siku za uzee wako. Kwa maana mkweo ambaye anakupenda, na ambaye kwako ni bora zaidi ya watoto wa kiume saba, ndiye alimzaa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.
Cross References
Genesis 45:11Nitawatunza huko, kwa sababu bado iko miaka mingine mitano inayokuja ya njaa. La sivyo, wewe na nyumba yako na wote ulio nao mtakuwa fukara.’
Ruth 1:16Lakini Ruthu akajibu, “Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakokwenda nami nitakwenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.
1 Samuel 1:8Elikana mumewe akawa anamwambia, “Hana, kwa nini unalia? Kwa nini huli? Kwa nini kuvunjika moyo? Je, mimi si bora zaidi kwako kuliko watoto kumi?”
Proverbs 18:24Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, 2 bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.