Ruth 4:17
Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.
18Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: 1 Peresi alimzaa Hesroni, 1
Cross References
Ruth 4:22Obedi akamzaa Yese, 1 na Yese akamzaa Daudi.
Luke 1:58Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye.