Ruth 4:18
Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: 1 Peresi alimzaa Hesroni, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now these are the generations of Pharez: Pharez begat Hezron,
In Context
19Hesroni akamzaa Ramu, 1 Ramu akamzaa Aminadabu, 1
Cross References
1 Chronicles 2:4Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano. 1
1 Chronicles 4:1Wana wa Yuda walikuwa: 2 Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 1
Luke 3:33Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, 1 Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, 1 Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, 1 Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, 1 Peresi alikuwa mwana wa Yuda, 1