Titus 2:10
wala wasiwaibie, bali waonyeshe kuwa wanaweza kuaminika kabisa, ili kwa kila namna wayafanye mafundisho ya Mungu Mwokozi wetu yawe ya kuvutia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Kwa maana neema ya Mungu ambayo inawaokoa wanadamu wote imefunuliwa.
Cross References
Genesis 39:8Lakini Yosefu akakataa. Akamwambia yule mwanamke, “Mimi nikiwa katika uongozi, bwana wangu hahusiki na kitu chochote katika nyumba hii, kila kitu alicho nacho amenikabidhi.
1 Samuel 26:23Bwana humlipa kila mtu kwa ajili ya haki yake na uaminifu wake. Bwana alikutia katika mikono yangu leo, lakini sikuinua mkono wangu juu ya mpakwa mafuta wa Bwana.
Psalms 101:6Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, 2 ili waweze kuishi pamoja nami; 1 yeye ambaye moyo wake hauna lawama 2 atanitumikia. 1
Matthew 5:16Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. 1 Kutimiza Sheria
Luke 16:6“Akajibu, ‘Galoni 800 + 16:6 Galoni 800 ni sawa na lita 4,000. za mafuta ya mizeituni.’ “Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati ya deni lako, ibadilishe upesi, uandike galoni 400.’
John 12:6Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali maskini, bali kwa kuwa alikuwa mwizi, kwani ndiye alikuwa akitunza mfuko wa fedha akawa anaiba kile kilichowekwa humo.