Zekaria 10:7
Waefraimu watakuwa kama mashujaa, 2 mioyo yao itafurahi kana kwamba ni kwa divai. 1 Watoto wao wataona na kufurahi, 2 mioyo yao itashangilia katika Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 18:19Kwa maana nimemchagua yeye, ili awaongoze watoto wake na jamaa yake kufuata njia ya Bwana, kwa kuwa waadilifu na kutenda haki, ili Bwana atimize ahadi yake kwa Abrahamu.”
1 Samuel 2:1Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo wangu wamshangilia Bwana, 2 katika Bwana pembe yangu imeinuliwa juu. 1 Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, 2 kwa kuwa naufurahia wokovu wako. 1
Psalms 28:7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, 2 moyo wangu umemtumaini yeye, 2 nami nimesaidiwa. 1 Moyo wangu unarukaruka kwa furaha 2 nami nitamshukuru kwa wimbo. 1
Psalms 102:28Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako; 2 wazao wao wataimarishwa mbele zako.”
Proverbs 31:6Wape kileo wale wanaoangamia, 2 mvinyo wale walio na uchungu, 1
Isaiah 38:19Walio hai, walio hai: hao wanakusifu, 2 kama ninavyofanya leo. 1 Baba huwaambia watoto wao 2 habari za uaminifu wako. 1