Zechariah 13:2
“Katika siku hiyo, nitayakatilia mbali majina ya sanamu kutoka nchi, nayo hayatakumbukwa tena,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Nitaondoa manabii wao pamoja na roho ya uchafu katika nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 22:13Kama ameraruliwa na mnyama pori, ataleta mabaki ya mnyama kama ushahidi, naye hatadaiwa kulipa mnyama aliyeraruliwa.
Deuteronomy 12:3Bomoeni madhabahu zao, vunjeni yale mawe wanayoabudu, chomeni moto nguzo zao za Ashera; katilieni mbali sanamu za miungu yao na mfute majina yao mahali hapo.
Joshua 23:7Msishirikiane na mataifa yaliyobakia katikati yenu, wala msiombe kwa majina ya miungu yao au kuapa kwayo. Msiitumikie wala kuisujudia.
Psalms 16:4Huzuni itaongezeka kwa wale 2 wanaokimbilia miungu mingine. 1 Sitazimimina sadaka zao za damu 2 au kutaja majina yao midomoni mwangu. 1
Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1
Jeremiah 23:14Nako miongoni mwa manabii wa Yerusalemu 2 nimeona jambo baya sana: 1 Wanafanya uzinzi 2 na kuenenda katika uongo. 1 Wanatia nguvu mikono ya watenda mabaya, 2 kwa ajili hiyo hakuna yeyote 2 anayeachana na uovu wake. 1 Wote wako kama Sodoma kwangu; 2 watu na Yerusalemu wako kama Gomora.”