Zekaria 14:18
Ikiwa watu wa Misri nao hawatakwenda kushiriki, hawatapata mvua. Bwana ataleta juu yao tauni ile ambayo itawapiga mataifa yale ambayo hayatakwenda kuadhimisha Sikukuu ya Vibanda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 23:34“Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, Sikukuu ya Bwana ya vibanda itaanza, nayo itaadhimishwa kwa siku saba.
Isaiah 60:12Kwa maana taifa au ufalme ule ambao hautakutumikia utaangamia; 2 utaharibiwa kabisa. 1
Micah 5:8Mabaki ya Yakobo yatakuwa miongoni mwa mataifa, 2 katikati ya mataifa mengi, 1 kama simba miongoni mwa wanyama wa msituni, 2 kama mwana simba miongoni 2 mwa makundi ya kondoo, 1 ambaye anaumiza vibaya na kuwararua 2 kila anapopita katikati yao, 2 wala hakuna awezaye kuokoa. 1
Zechariah 14:15Tauni ya aina iyo hiyo itapiga farasi na nyumbu, ngamia na punda, nao wanyama wote walioko kwenye kambi za adui.