Zekaria 14:5
Nanyi mtakimbia kupitia katika bonde hilo la mlima wangu kwa kuwa litaenea hadi Aseli. Mtakimbia kama mlivyokimbia tetemeko la ardhi katika siku za Uzia mfalme wa Yuda. Kisha Bwana Mungu wangu atakuja na watakatifu wote pamoja naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Siku hiyo hakutakuwepo nuru, baridi wala theluji.
Cross References
Deuteronomy 33:2Alisema: 1 “ Bwana alikuja kutoka Mlima Sinai, 2 akachomoza kama jua juu yao 2 kutoka Mlima Seiri, 2 akaangaza kutoka Mlima Parani. 1 Alikuja pamoja na watakatifu makumi elfu 2 kutoka kusini, 2 kutoka materemko ya mlima wake. 1
Psalms 97:4Umeme wake wa radi humulika dunia, 2 nchi huona na kutetemeka. 1
Isaiah 29:6Bwana Mwenye Nguvu Zote atakuja 1 na ngurumo, tetemeko la ardhi, na kwa sauti kuu, 2 atakuja na dhoruba, tufani na miali ya moto iteketezayo. 1
Isaiah 66:15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1
Daniel 7:21Nilipoendelea kutazama, pembe hii ilikuwa inapigana vita dhidi ya watakatifu na kuwashinda,
Amos 1:1Maneno ya Amosi, mmoja wa wachunga wanyama wa Tekoa: yale aliyoyaona kuhusu Israeli miaka miwili kabla ya tetemeko la ardhi, wakati Uzia alikuwa mfalme wa Yuda, na Yeroboamu mwana wa Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli.