Zekaria 14:6
Siku hiyo hakutakuwepo nuru, baridi wala theluji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it shall come to pass in that day, that the light shall not be clear, nor dark:
In Context
Cross References
Psalms 97:10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, 2 kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake 2 na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 1
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Isaiah 50:10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1
Jeremiah 4:23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1
Joel 2:2siku ya giza na huzuni, 2 siku ya mawingu na utusitusi. 1 Kama mapambazuko yasambaavyo 2 toka upande huu wa milima 2 hata upande mwingine 2 jeshi kubwa na lenye nguvu linakuja. 1 Jambo kama hili halijakuwepo tangu zamani 2 wala halitakuwepo tena kamwe 2 kwa vizazi vijavyo. 1
John 1:5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.