The Bible Software
bible.softwareZechariahZechariah 2 › Zechariah 2:12

Zechariah 2:12

Bwana atairithi Yuda kama fungu lake katika nchi takatifu na atachagua tena Yerusalemu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD shall inherit Judah his portion in the holy land, and shall choose Jerusalem again.

In Context

11“Mataifa mengi yataunganishwa na Bwana siku hiyo, nao watakuwa watu wangu. Nitaishi miongoni mwenu nanyi mtajua kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu.

13Tulieni mbele za Bwana, enyi watu wote, kwa sababu ameinuka kutoka makao yake matakatifu.”

Read all of Zechariah 2

Cross References

Deuteronomy 32:9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1

Esther 6:13naye akamweleza Zereshi mkewe pamoja na rafiki zake wote kila kitu ambacho kimempata. Washauri wake pamoja na Zereshi mkewe wakamwambia, “Kwa kuwa Mordekai, ambaye mbele yake umeanza kuanguka ni wa asili ya Kiyahudi, huwezi kushindana naye; kwa hakika utaanguka!”

Psalms 82:8Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, 2 kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.

Psalms 135:4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, 2 Israeli kuwa mali yake ya thamani. 1

Isaiah 41:9nilikuchukua toka miisho ya dunia, 2 nilikuita kutoka pembe zake za mbali. 1 Nilisema, ‘Wewe ni mtumishi wangu’; 2 nimekuchagua, wala sikukukataa. 1

Jeremiah 30:16“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa; 2 adui zako wote watakwenda uhamishoni. 1 Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara; 2 wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zechariah 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zechariah 2:11Zechariah 2Zechariah 2:13 →