The Bible Software
bible.softwareZechariahZechariah 2 › Zechariah 2:4

Zechariah 2:4

na kumwambia: “Kimbia, umwambie yule kijana, ‘Yerusalemu utakuwa mji usio na kuta kwa sababu ya wingi wa watu na mifugo iliyomo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And said unto him, Run, speak to this young man, saying, Jerusalem shall be inhabited as towns without walls for the multitude of men and cattle therein:

In Context

3Kisha malaika aliyekuwa akizungumza nami akaondoka, malaika mwingine akaja kukutana naye

5Mimi mwenyewe nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka,’ asema Bwana, ‘nami nitakuwa utukufu wake ndani yake.’

Read all of Zechariah 2

Cross References

Isaiah 44:26niyathibitishaye maneno ya watumishi wake, 2 na kutimiza utabiri wa wajumbe wake, 1 “niambiaye Yerusalemu, ‘Itakaliwa na watu,’ 2 niambiaye miji ya Yuda kuwa, ‘Itajengwa,’ 2 na kuhusu magofu yake, ‘Mimi nitayatengeneza,’ 1

Isaiah 54:16“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi, 2 yeye afukutaye makaa kuwa moto, 2 na kutengeneza silaha inayofaa kwa kazi yake. 1 Tena ni mimi niliyemwambia mharabu 2 kufanya uharibifu mwingi. 1

Jeremiah 30:18“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Nitarudisha baraka za mahema ya Yakobo, 2 na kuhurumia maskani yake. 1 Mji utajengwa tena juu ya magofu yake, 2 nalo jumba la kifalme litasimama mahali pake halisi. 1

Jeremiah 31:27Bwana asema, “Siku zinakuja, nitakapoongeza idadi ya watu, na kuzidisha hesabu ya mifugo katika nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda.

Jeremiah 33:10“Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Mnasema kuhusu mahali hapa kwamba, “Ni mahali palipoachwa ukiwa, pasipo na wanadamu wala wanyama.” Lakini katika miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu ambazo zimeachwa, ambazo hazikaliwi na wanadamu wala wanyama, huko kutasikika kwa mara nyingine

Ezekiel 36:10nami nitaizidisha idadi ya watu kwenu, naam, nyumba yote ya Israeli. Miji itakaliwa na watu na magofu yatajengwa upya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zechariah 2:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zechariah 2:3Zechariah 2Zechariah 2:5 →