Zekaria 2:5
Mimi mwenyewe nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka,’ asema Bwana, ‘nami nitakuwa utukufu wake ndani yake.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 3:3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1
Psalms 48:3Mungu yuko katika ngome zake; 2 amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake. 1
Isaiah 4:5Kisha Bwana ataumba juu ya Mlima wote wa Sayuni, na juu ya wale wote wanaokusanyika hapo, wingu la moshi wakati wa mchana, na kungʼaa kwa miali ya moto wakati wa usiku, nako juu ya huo utukufu wote kutatanda kifuniko cha ulinzi.
Isaiah 26:1Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: 1 Tuna mji ulio na nguvu, 2 Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake. 1
Isaiah 60:18Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako, 2 wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako, 1 lakini utaita kuta zako Wokovu, 2 na malango yako Sifa. 1
Ezekiel 47:3Mtu yule alipokwenda upande wa mashariki akiwa na kamba ya kupimia mkononi mwake, akapima dhiraa 1,000 + 47:3 Dhiraa 1,000 ni sawa na mita 450. kisha akanipitisha kwenye hayo maji ambayo yalifika kwenye vifundo vya miguu.