The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 54 › Isaya 54:16

Isaya 54:16

“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi, 2 yeye afukutaye makaa kuwa moto, 2 na kutengeneza silaha inayofaa kwa kazi yake. 1 Tena ni mimi niliyemwambia mharabu 2 kufanya uharibifu mwingi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I have created the smith that bloweth the coals in the fire, and that bringeth forth an instrument for his work; and I have created the waster to destroy.

In Context

15Kama mtu yeyote akikushambulia, 2 haitakuwa kwa ruhusa yangu; 1 yeyote akushambuliaye 2 atajisalimisha kwako. 1

17Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako 2 itakayofanikiwa, 1 nawe utauthibitisha kuwa mwongo 2 kila ulimi utakaokushtaki. 1 Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana 2 na hii ndiyo haki yao itokayo kwangu,” 4 asema Bwana.

Read all of Isaya 54

Cross References

Proverbs 16:4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; 2 hata waovu kwa siku ya maangamizi. 1

Isaiah 10:15Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi 2 kuliko yule anayelitumia, 1 au msumeno kujisifu 2 dhidi ya yule anayeutumia? 1 Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, 2 au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 1

Isaiah 46:11Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; 2 kutoka nchi ya mbali, 2 mtu atakayetimiza kusudi langu. 1 Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; 2 lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda. 1

Zechariah 2:1Kisha nikatazama juu: pale mbele yangu alikuwepo mtu mwenye kamba ya kupimia mkononi mwake!

John 19:11Ndipo Yesu akamwambia, “Wewe hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa kutoka juu. Kwa hiyo yeye aliyenitia mikononi mwako ana hatia ya dhambi iliyo kubwa zaidi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 54:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 54:15Isaya 54Isaya 54:17 →