Zechariah 3:2
Bwana akamwambia Shetani, “ Bwana akukemee Shetani! Bwana, ambaye ameichagua Yerusalemu, akukemee! Je, mtu huyu siyo kijinga kinachowaka kilichonyakuliwa kwenye moto?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Wakati huu, Yoshua alikuwa amevaa nguo chafu alipokuwa amesimama mbele ya malaika.
Cross References
2 Chronicles 6:5‘Tangu siku niliyowatoa watu wangu kutoka Misri, sikuchagua mji katika kabila lolote la Israeli ili Hekalu lijengwe humo ili Jina langu lipate kuwamo humo, wala sikumchagua mtu yeyote kuwa kiongozi wa watu wangu Israeli.
Psalms 109:31Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, 2 kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
Amos 4:11“Niliwaangamiza baadhi yenu kama 2 nilivyoangamiza Sodoma na Gomora. 1 Mlikuwa kama kijiti kiwakacho kilichonyakuliwa motoni, 2 hata hivyo hamjanirudia,” 4 asema Bwana. 1
Zechariah 2:12Bwana atairithi Yuda kama fungu lake katika nchi takatifu na atachagua tena Yerusalemu.
Luke 4:35Basi Yesu akamkemea yule pepo mchafu, akisema, “Nyamaza kimya! Nawe umtoke!” Yule pepo mchafu akamwangusha yule mtu chini mbele yao wote, akatoka pasipo kumdhuru.
Luke 22:32Lakini nimekuombea wewe Simoni ili imani yako isishindwe, nawe ukiisha kunirudia, uwaimarishe ndugu zako.”