The Bible Software
bible.softwareAmosAmos 4 › Amos 4:11

Amos 4:11

“Niliwaangamiza baadhi yenu kama 2 nilivyoangamiza Sodoma na Gomora. 1 Mlikuwa kama kijiti kiwakacho kilichonyakuliwa motoni, 2 hata hivyo hamjanirudia,” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have overthrown some of you, as God overthrew Sodom and Gomorrah, and ye were as a firebrand plucked out of the burning: yet have ye not returned unto me, saith the LORD.

In Context

10“Niliwapelekea tauni miongoni mwenu 2 kama nilivyofanya kule Misri. 1 Niliwaua vijana wenu wa kiume kwa upanga, 2 niliwachukua farasi wenu. 1 Nilijaza pua zenu kwa uvundo kutoka kwenye kambi zenu, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1

12“Kwa hiyo hili ndilo nitakalowafanyia, Israeli, 2 na kwa sababu nitawafanyia hili, 2 jiandaeni kukutana na Mungu wenu, ee Israeli.” 1

Read all of Amos 4

Cross References

Deuteronomy 28:24Bwana atafanya mvua ya nchi yako kuwa mavumbi na mchanga; vitakujia kutoka angani mpaka uangamie.

Isaiah 13:19Babeli, johari ya falme, 2 utukufu wa kiburi cha Wababeli, + 13:19 Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo. 1 itaangushwa na Mungu 2 kama Sodoma na Gomora. 1

Jeremiah 6:28Wote ni waasi sugu, 2 wakienda huku na huko kusengenya. 1 Wao ni shaba na chuma, 2 wote wanatenda upotovu. 1

Jeremiah 49:18Kama vile Sodoma na Gomora zilivyoangamizwa, 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote atakayeishi humo. 2 Naam, hakuna mtu yeyote atakayekaa humo. 1

Ezekiel 22:17Ndipo neno la Bwana likanijia kusema:

Hosea 11:5“Je, hawatarudi Misri, 2 nayo Ashuru haitawatawala 2 kwa sababu wamekataa kutubu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Amos 4:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Amos 4:10Amos 4Amos 4:12 →